Ku update simu una update kawaida tu, setting then chini kwenye about utaona software update.
Kama simu ni refurb za Nje haita update, kuna mawili, moja kama imechezewa haita update kabisa, mpaka ubadili rom ama kudownload update manual ila ni risk kama hujui unalofanya.
Pili kama haijachezewa ukiweka vpn ya nchi husika ilipotoka, inaweza pokea software update.