Msaada wa ku upload kitambulisho cha NIDA HESLB

Wangwambo

Member
Joined
May 22, 2020
Posts
20
Reaction score
14
Habari wadau,

Naomba aliyefanikiwa ku upload file la nida kwenye mfumo wa maombi ya mkopo maana nimejaribu zaidi ya mara tatu inanigomea , au kuna sehemu nakosea?
 
Inasumbua Sana usiweke namba ya nida Wala kitambulisho Wala taarifa za benk jaza zile sehemu zingine tu ikishakubali unaenda edit ndo una add jaribu afu nipe mrejesho
 
Shukrani Mkuu imekubali
 
Back
Top Bottom