msaada wa kuanda busness plan

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
925
habari za kazi waungwana
natafuta wataalamu wa uandaji wa bussnes plan,
wawe na utaalamu na si wa babaishaji waoneshe uzoefu katika kazi yao.kunishauri nk.

Nawasilisha
 
habari za kazi waungwana
natafuta wataalamu wa uandaji wa bussnes plan,
wawe na utaalamu na si wa babaishaji waoneshe uzoefu katika kazi yao.kunishauri nk.

Nawasilisha

uzoefu upi?
 
mi mtalaam,nipe title ili nikundalie kitu mwake ile balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…