Msaada wa Kuandaa Memorandum and act of association

Msaada wa Kuandaa Memorandum and act of association

K_J

Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
16
Reaction score
12
Wanajamii Naomba msaada! Je ni lazima memorandum and article of association iandaliwe na mwanasheria na ni vitu gani muhimu vinahitajika kuwepo?:director:
 
Wanajamii Naomba msaada! Je ni lazima memorandum and article of association iandaliwe na mwanasheria na ni vitu gani muhimu vinahitajika kuwepo?:director:

Andaa mwenyewe, mwanasheria atakugonga hela nyingi saana. Cha msingi uelewe some provisions for the companies act. na Brela wana sample yao in word document, you can as well follow it. Check it here: http://www.tic.co.tz/media/Memorandum and articles of association (Sample) (1)_4.doc

Kama ukiona haikidhi mahitaji yako, tuwasiliane through PM!
 
Waweza andaa mwwenyewe ila kama unahitaji some terminologies za kisheria unaweza kum-consult mwanasheria yeyote tu. Vinginevyo tuwasiliane via PM au email ifuatayo:- phiveda@yahoo.com
 
Back
Top Bottom