Wanajamii Naomba msaada! Je ni lazima memorandum and article of association iandaliwe na mwanasheria na ni vitu gani muhimu vinahitajika kuwepo?:director:

Waweza andaa mwwenyewe ila kama unahitaji some terminologies za kisheria unaweza kum-consult mwanasheria yeyote tu. Vinginevyo tuwasiliane via PM au email ifuatayo:- phiveda@yahoo.com