Msaada wa kuandika Proposal

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Wakuu mambo vipi?

Aisee kuna wazungu flani wanataka kusaidia Ujenzi wa kanisa letu hapa Mbezi Mwisho, sasa ishu ikaja ni kwamba wamenambia niandike Proposal ya ujenzi wa hilo kanisa na Gharama zake then wao watatoa pesa

Sasa ishu iko hapo kwenye hiyo proposal so naomba mwenye utaaalamu wa hizo mambo au anaejua link ambayo naweza kudownload anisaidie.
 
ukute wewe ndo umesema unajua then unakuja kuomba msaada hapa, #i think loudly#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…