Msaada wa kuangalia kiasi kinachodaiwa na TRA .

Msaada wa kuangalia kiasi kinachodaiwa na TRA .

Muhsin kanick

Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
11
Reaction score
1
Wadau naomben msaada kwa anaefahamu namba za kupiga ili kufahamu kias cha pesa ninachodaiwa na TRA kwa njia ya cm nina pikipik. Nahitaji kubadili plate number. Asanten.
 
Back
Top Bottom