Muhsin kanick Member Joined Aug 26, 2016 Posts 11 Reaction score 1 Dec 23, 2016 #1 Wadau naomben msaada kwa anaefahamu namba za kupiga ili kufahamu kias cha pesa ninachodaiwa na TRA kwa njia ya cm nina pikipik. Nahitaji kubadili plate number. Asanten.
Wadau naomben msaada kwa anaefahamu namba za kupiga ili kufahamu kias cha pesa ninachodaiwa na TRA kwa njia ya cm nina pikipik. Nahitaji kubadili plate number. Asanten.
+255 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2012 Posts 1,940 Reaction score 762 Dec 23, 2016 #2 Andika neno KADIRIA zkifatiwa na NAMBA kwenda 15341. Mfano KADIRIA T111AAA