Msaada wa Kuangaliziwa matokeo

obert

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
42
Reaction score
3
Naomba mwenye mapenzi ya dhati aniangalizie jina hili Steward mushi kapangwa wapi, diploma. Kasimu kangu hakasomi pdf.
 
Naomba mwenye mapenzi ya dhati aniangalizie jina hili Steward mushi kapangwa wapi,diploma.kasimu kangu hakasomi pdf
hebu boresha taarifa kidogo, ulisoma chuo kipi?
 
Nami msaada naomba nichekiwe jina Godfrey mbelle ngazi ya cheti uwalimu wa msingi. Kasoma kabanga kigoma. Je kapangwa wapi ? Msaada wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…