othumani kaka
Member
- Apr 3, 2020
- 16
- 6
Habari wadau wote humu ndani. Naombeni msaada wa kimawazo. Ni mbinu zipi nitumie kufikia malengo ya kufungua biashara yangu mwenyewe (kujiajiri)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app