othumani kaka
Member
- Apr 3, 2020
- 16
- 6
mtaji unao ?Habari wadau wote humu ndani. Naombeni msaada wa kimawazo. Ni mbinu zipi nitumie kufikia malengo ya kufungua biashara yangu mwenyewe(kujiajiri)
Sent using Jamii Forums mobile app
tafuta hitaji la muhimu eneo ulilopo na uwekeze pesa zako kulitatua tayari inakuwa biashara ila uvumilivu, bidii na huduma bora ndio ufunguo wa mafanikio ya biashara.
we jamaa kama huwwz kufunguka baadhi ya taarifa hutasaidiwa