Hii ninacomment ili ipande juu, swala la security ni muhimu sana hasa Tanzania ambapo unaweza toka nyumbani kurudi mtu kabomoa kioo cha dirisha kavuta vitu vyote vya thamani.
Ukifanikiwa kuanzisha kama ukihitaji technology ya kisasa ile mtu akivamiwa inapiga kelele picha inapigwa ya mwizi na information inatumwa automatic kwa security guards ndani ya sekunde moja we nitaarifu.