Msaada wa kuanzisha kampuni

Msaada wa kuanzisha kampuni

nonoly

Member
Joined
Jan 3, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Wakuu habari za mida hii.. Naomba kujua kama naweza kuanzisha kampuni ya kuuza vinywaji vya jumla.. yaani kuanzisha kampuni ya kuuza bidhaa za kampuni nyingine lakini kampuni tofauti tofaut kama Azam, Coca, Pepsi, MeTL n.k
 
Fanya kwanza mawasiliano na brela kwa utaratibu wa kusajili jina la biashara
 
Mkuu nitafute nikusaidie na kukufanikishia ndani ya mda mchache pliz,
Nikuanzia jina la biashara, tin namba na leseni.
Contact: 0714-074040
 
Back
Top Bottom