N nonoly Member Joined Jan 3, 2016 Posts 9 Reaction score 4 Jan 23, 2016 #1 Wakuu habari za mida hii.. Naomba kujua kama naweza kuanzisha kampuni ya kuuza vinywaji vya jumla.. yaani kuanzisha kampuni ya kuuza bidhaa za kampuni nyingine lakini kampuni tofauti tofaut kama Azam, Coca, Pepsi, MeTL n.k
Wakuu habari za mida hii.. Naomba kujua kama naweza kuanzisha kampuni ya kuuza vinywaji vya jumla.. yaani kuanzisha kampuni ya kuuza bidhaa za kampuni nyingine lakini kampuni tofauti tofaut kama Azam, Coca, Pepsi, MeTL n.k
simiyu JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 274 Reaction score 153 Jan 23, 2016 #2 Fanya kwanza mawasiliano na brela kwa utaratibu wa kusajili jina la biashara
Pelham 1 JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 548 Reaction score 99 Jan 27, 2016 #3 Mkuu nitafute nikusaidie na kukufanikishia ndani ya mda mchache pliz, Nikuanzia jina la biashara, tin namba na leseni. Contact: 0714-074040
Mkuu nitafute nikusaidie na kukufanikishia ndani ya mda mchache pliz, Nikuanzia jina la biashara, tin namba na leseni. Contact: 0714-074040