samilakadunda JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 1,780 Reaction score 355 Nov 12, 2017 #1 Wataalamu naomba msaada wa kujua ni ainagani ya Gari difu yake unaweza ingiliana na Noah old model? Maana nilichojifunza difu Noah nitatizo linalotusumbua wengi ukilinganisha na magari mengine. Nawasilisha
Wataalamu naomba msaada wa kujua ni ainagani ya Gari difu yake unaweza ingiliana na Noah old model? Maana nilichojifunza difu Noah nitatizo linalotusumbua wengi ukilinganisha na magari mengine. Nawasilisha
naliwe JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 410 Reaction score 987 Nov 12, 2017 #2 Mark 2 old model zinaingiliana
samilakadunda JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 1,780 Reaction score 355 Nov 12, 2017 Thread starter #3 naliwe said: Mark 2 old model zinaingiliana Click to expand... Asante mkuu, barikiwa