ndugu wajuzi wa fedha za kigeni naomba mnijulishe dola moja ya marekani ni shilingi ngapi kwa tz?...na hii us $179.56 ukiibadili kwa fedha za kigeni utapata shilingi ngapi za tanzania?????naombeni mnifafanulie vizuri wataalam

Mkuu hiyo kitu inabadilika siku hadi siku kutokana na soko lilivyo.
Ila kwa sasa USD 1 nisawa na takribani kati ya TZS 1625 hadi TZS 1635.
Nafikiri hiyo itasaidia kujua hiyopesa yakoni kiasi gani kwa pesa za kitanzania.