Msaada wa kubadili hela ya India kuwa TSHS: NMB, CRDB, NBC na Benki ya Posta.

Boniface Evarist

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
1,147
Reaction score
513
Ndugu wana Jamvi mie mwanafunz muda wa kwenda benk ninakosa ratiba ngumu cna kwangu. Nipo sehemu ambapo kuna NMB, CRDB, NBC na Benki ya Posta tu. Je ni benki ipi kati ya hizi naweza kuchange Indian Rupees to Tanzanian Shillings? Na Rupee 1 ni Shilingi ngapi?
Please! Don't ignore my request!
 
1 Rupee ni 36 Tshs
ila kama unataka ku change usichange Bank ila change kwa burreau de change
 
c u down load, acha ku2zingua!
 
c u down load, acha ku2zingua!
Ndio maana kaomba msaada jamii forum ni mahali pa kusaidiana USIJIFANYE UNAJUA KILA KITU hata kama unajua kuna wengine hawajui
nyinyi watu mlioijua jamii forumn mwaka HUU mnatusumbua sana aaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…