Msaada wa kubadili kozi SUA

Msaada wa kubadili kozi SUA

Lukawe

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Naomba mnisaidie nataka kubadili kozi kutoka aquaculture kwenda microbiology and biotechnology
 
Yani wewe nisaidie unafurahi tu mchango wako unahitajika
 
nakushauri uwahi chuoni chuoni maybe unaweza .fanikisha ila usimsahau mungu wakati ukiendelea kuprocess maana atakusaidia .Jaribu mkuu usikatishwe tamaa
 
ubarikiwe nashukuru kwa ushauri wako mkuu asante ntaufanyia kazi
 
Naomba mnisadie wadau

Microbiology and biotechnology?? Hii koz haipo sua!! Labda kama ulomaanisha lab sciences and biotechnology!!!
Nnavojua kwenye ile wik ya kwanza na pili ndio unaweza fanya huo mchakato cha msing uwe na vigezo...
 
Asante kwa masahihisho pia kwa ushauri mzuri ntajitahidi kuwahi chuoni
 
Back
Top Bottom