WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,017
Habari wana jamvi?!Naomba kujua kama inawezekana kubadiri kozi,nina jamaa yangu amesoma CERTIFICATE IN GENERAL AGRICULTURE, anataka kwenda DIPLOMA ila hataki kilimo anapenda MAENDELEO YA JAMII...
Je anaweza kubadili fani katika hatua hii?!
Je anaweza kubadili fani katika hatua hii?!