Msaada wa kubadilisha namba kwenye BlackBerry Tour 9630 (US Sprint)

Msaada wa kubadilisha namba kwenye BlackBerry Tour 9630 (US Sprint)

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
707
Waungwana,

Nimeletewa unlocked BlackBerry Tour 9630, ambayo ilikuwa inatumika kwenye mtandao wa US Sprint.

Ninaweza kupiga na kupokea, lakini lazima kila namba inayopigwa lazima ianze na +255.

Siwezi kuongeza salio au kujua salio, lakini naweza kutumiwa salio.

Nahitaji kubadilisha namba, kwani namba inayoonekana ni ya US Sprint, kwa hiyo, nikijaribu kuongeza salio ninapata ujumbe "Congestion!"

Nimetafuta majibu online, ninaambiwa nibadilishe MSL, kwa kutumia ##000000 (send). Imegoma.

Tafadhali mwenye msaada anipigie simu kwa namba 0786-019019 au 0715-019119.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom