msaada wa kuchagua programme

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
samahan wakuu naomba msaada,nataka kuchagua course ya bachelor of account and finance BAF, chuo kipi kinatoa BAF nzur.
 
Mzumbe ndo atleast wanatoa BAF nzuri..otherwise kama umefaulu fresh,omba bcom-accounting au finance udsm.
 
Kwan BAFna hiyo bcom of A&F ipi ni bora sana.. mi nina ECA-CDB

you better go for bcom-accounting or finance,maana hapa utasoma units nyingi ambazo zitakufanya uwe wide katika career yako.
 
Daaaah hii thread inanihusu hii.......nami pia na DDE ya hge na f ya gs......nafikiri hiyo bcom of accounting na finance imeni impress but wadau endeleeni kutupa machaguo mazuri zaidi kwani uelewa wetu kwa sasa ni mdogo.......wat about BBA????....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…