godfrey joseph chuwa
Member
- Jun 29, 2021
- 11
- 3
Jamani naombeni msaada wa kuchanganya cocktail maana nilikunywa mahali aisee ilikuwa poa sana sasa natamani na mimi niweze kuiandaa ila sijui michanganuo nini na nini naombeni misaada kwa ninyi mnaofahamu au kama kuna ambayo imekamilika pia nipate kujuzwa yaani kama naweza enda dukani au supermarket nikaikuta huko nikanunua na kuondoka zangu