godfrey joseph chuwa
Member
- Jun 29, 2021
- 11
- 3
Hii ni mocktail siyo cocktail.Limao
Juisi ya nanasi
Unyoya wa jogoo hasa unyoya wa mkiani uliosimama
Ice barafu iliyopondwa
Uchanganyaji.
Andaa juisi yako
Kata limao Kipande kiwe kama tairi duara.
Ponda ponda barafu
Mimina juisi Kwa glasi.
Mimina vipande vya barafu kwenye glasi ya juisi.
Simamisha unyoya wa jogoo ndani ya juisi.
Weka tairi la Kipande cha limao juu ya unyoya.
hiyo cocktail ya unyoya tenaLimao