Inategemeana na file ya hiyo movie unataka download,kama ni flash file kind ya movie,lazima uinstall program ya kudownload a flash file,lakin ka ni file la kawaida unaweza tu download kama kawaida.<br />
Ka unataka amisha movie toka kwenye CD,we icopy kwanza kwenye mashine afu itume kwenye flash!!