Msaada wa kuelewa ubunifu uzalishaji umeme utokanao na sumaku

Msaada wa kuelewa ubunifu uzalishaji umeme utokanao na sumaku

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118


Mtanzania mwenzetu abuni umeme utokanao au kwa kutumia sumaku?

sijaelewa kama njia hiyo kwani haikuwepo? na je hakuna kabisa chanzo kingine cha energy kama mafuta, upepo , au hata solar ya kuizungusha hiyo sumaku ili itoe umeme? yaani ni sumaku tu ndio chanzo pekee?
 
Maelezo yake hayajasema source ni nini. Ila umeme wote unaoona unazalishwa na sumaku. Kuanzia hydroelectric power mpk wind turbine wanatumia motor zenye sumaku. Motor zinasumaku ndani na uki apply force motor hyo itazalisha umeme.

Hata leo hapo ukachukua motor iliyokua kwenye dvd au radio ukiizungusha kwa mkono na ukaunganisha bulb ya tochi kwenye terminal zake basi hyo bulb itawaka. Hyp ndio basic method ya kuzalisha umeme inayotumika kila sehemu.

Sasa bado sijajua yeye katumia nini kma source ya force inayozungusha motor (hydroelectric power ni maji, nuclear power plant zinatumia mvuke, wind turbines zinatumia upepo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijaelewa kama njia hiyo kwani haikuwepo ?

kibongobongo hawezimwaga kila kitu hapo, itakua haina maana,

ila ni 'MG (motor-generator) set' iyo ikiwa na 'battery backed-UPS'

maana naona generator kwa ndani pale, imeungwa na pulley via V-Belt mpaka kwa FlyWheel, inaunga na motor

izo towers kuna transfomers upande wa Inverter, cooling vent kwa kupooza coils zake

naona bank of capacitors kushoto katikati

izo chemba zingine zina rectifier, battery charging circuits na takataka zingine
 
Hii ni topic ya form two Physics, Electromagnetism. Ukija Advance unakutana nayo kama hii
Hujaelewa chochote hpo mkuu [emoji16],, Iko hivii yule jamaa ametengeneza primary mover (engine) ,, wewe unaonglea electromagnetic induction ya bwana Faraday,,
Iko hivii,, Badala uchukue diesel engine au steam turbine au water falls kudrive alternator upate umeme yeye Kaunda hyo source of power, yaan hajaitumia sumaku kama media ku convert mechanical energy to electrical,, oyaa cjuw umenpata hapo au bado,, tunaweza kusema amekiuka Ile law of conservation of energy,, kamsiklize vzur YouTube utaelewa
 
Back
Top Bottom