Hakuna anayejali JF-Expert Member Joined Jun 3, 2023 Posts 418 Reaction score 526 Feb 29, 2024 #1 Habari wanajukwaa, Baada ya kurudi kazini nimekuta barua hiyo hapa chini, kipengele kinachonichanganya ni hicho kinachosema risiti zote za ulipaji kodi ya ardhi. Nakumbuka miaka kadhaa serikali ulisema sasa pango ya ardhi na nyumba italipwa kupitia lulu na kweli tumekuwa tunakatwa kwenye lulu. Je, kipengele hiki wenzangu mnakionaje hapo chini?
Habari wanajukwaa, Baada ya kurudi kazini nimekuta barua hiyo hapa chini, kipengele kinachonichanganya ni hicho kinachosema risiti zote za ulipaji kodi ya ardhi. Nakumbuka miaka kadhaa serikali ulisema sasa pango ya ardhi na nyumba italipwa kupitia lulu na kweli tumekuwa tunakatwa kwenye lulu. Je, kipengele hiki wenzangu mnakionaje hapo chini?
M Mtutuwandei JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 1,317 Reaction score 1,817 Feb 29, 2024 #2 Kodi ya majengo ndiyo inalipiwa kupitia luku. Kodi ya ardhi ni mwaka mara moja.
Hakuna anayejali JF-Expert Member Joined Jun 3, 2023 Posts 418 Reaction score 526 Mar 1, 2024 Thread starter #3 Heeeeh🙆
Yuda Legacy JF-Expert Member Joined Jun 21, 2023 Posts 778 Reaction score 2,764 Mar 1, 2024 #4 MIMI NAONA BORA KUOKOKA TU KWA JINA LA YESU KRISTO
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 1,396 Reaction score 2,704 Mar 1, 2024 #5 Hey! Hii tabia naona imezidi hapa jamvini Ukurupukaji kwenye uandishi, kabla ya kupost hariri kwanza ulichoandika Kuna tofauti kubwa sana ya maana kati ya neno Lulu na Luku Dah mimi nikajua ni mambo ya madini Inakera badilikeni.
Hey! Hii tabia naona imezidi hapa jamvini Ukurupukaji kwenye uandishi, kabla ya kupost hariri kwanza ulichoandika Kuna tofauti kubwa sana ya maana kati ya neno Lulu na Luku Dah mimi nikajua ni mambo ya madini Inakera badilikeni.
Hakuna anayejali JF-Expert Member Joined Jun 3, 2023 Posts 418 Reaction score 526 Mar 1, 2024 Thread starter #6 Samahani kwa kosa hilo.smart hizi usipokuwa makini imeenda.