Msaada wa Kuelimishwa: Kwanini Namungo FC wanatumia gari la Serikali?

Hii team ina utapata ilikuwa ya wachimba madini waasisi wake ila nahisi kuna mambo yamefanyika HALMASHAURI ya ruangwa wameichukua,,,tokea enzi za majaliwa sijajua sasa makubaliano yao
Hapo sawa. Naanza kuelewa. Hafu uanrudi lini wewe?
 
Namungo, Mbeya city, Dodoma mji, Pamba mji, Geita gold, KMC ni timu zilizo chini ya Halmashauri za miji/wilaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…