Inategemea yai lake la uzazi kama lipo karibu anaweza kupata mimba au hawezi kupata mimba kwani mkuu una wasiwasi wa kupata mimba?
Kama unampango wa kufanya child spacing then itafaa umwache mpaka atakapoanza kupata siku zake, au kipindi hiki unafanya kwa kutumia kinga mfano condom au withdraw ejaculation. Lakini kama huitaji then you do as usual ila tu damu damu ziwe zimekatika kabisa na mara nyingi huchukua 1-2wks baada ya hapo unaweza kufanya tendo kama kawa ila risk ni kuwa anaweza pata mimba bila kujua hasa kama mimba haikuhitajika.
Siogopi mkuu ila nahisi kama bado hajapona vizuri nilikuwa nataka apumzike kwa miezi miwili ndio ashike mimba nyingine.
Mpe nafasi apate muda mrefu wa kupumzika,unajua hamu inapokuja hata nae anasahau maumivu yote. Mkuu najua wazi mimba ilipoharibika,ulijisikia vibaya pia ukawa na hofu. Ni vema ume muda aendelee kupumzika sana.