Msaada wa kufahamishwa kuhusu vidonge vya damu kwa mama mjamzito

Msaada wa kufahamishwa kuhusu vidonge vya damu kwa mama mjamzito

hamisi nondo

Senior Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
192
Reaction score
172
Habari wanajamii
Tatizo langu ni kwamba mchumba wangu ni mjamzito juzi nilimpeleka clinic akajiandikisha tukapewa dawa za kuongeza damu jina nimelisahau,,,

Tulivyotoka clinic kuna sehemu tukaenda kwa rafiki yangu baada ya kuviona vile vidonge akaninbia nisimpe mama kijacho wangu kwa sababu zinachelewesha muda wa kujifungua unaweza ukafika mpaka miez 12,,

Naomba kufahamu juu ya hili ni kweli au imani tu,
 
Jina umesahau???? Na vidonge c ulipewa??............ We toa jina la hivyo vidonge ili ijulikane ka ni vya kumsaidia au la
 
mpe hizo dawa zinasaidia mtoto asizaliwe na matatizo ya mgongo wazi na vichwa vikubwa. vina madini ya folic acid
 
Back
Top Bottom