Habari wanajamii
Tatizo langu ni kwamba mchumba wangu ni mjamzito juzi nilimpeleka clinic akajiandikisha tukapewa dawa za kuongeza damu jina nimelisahau,,,
Tulivyotoka clinic kuna sehemu tukaenda kwa rafiki yangu baada ya kuviona vile vidonge akaninbia nisimpe mama kijacho wangu kwa sababu zinachelewesha muda wa kujifungua unaweza ukafika mpaka miez 12,,
Naomba kufahamu juu ya hili ni kweli au imani tu,