jamie sam Member Joined Apr 13, 2018 Posts 13 Reaction score 12 Jul 2, 2018 #1 Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 najishugulisha na Maswala ya IT zaidi, naningependa kufahamu au kupata elimu juu ya swala zima la uwekezaji kwenye hizi Saccos zetu hapa Tanzania.
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 najishugulisha na Maswala ya IT zaidi, naningependa kufahamu au kupata elimu juu ya swala zima la uwekezaji kwenye hizi Saccos zetu hapa Tanzania.
Mr.genius JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,374 Reaction score 1,201 Jul 3, 2018 #2 Mi sijaelewa uwekezaji kivipi?
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jul 5, 2018 #3 Tembelea saccos mkuu utajuzwa mengi