Msukule Msafi
Member
- Oct 10, 2018
- 55
- 47
Habari wakuu naomba msaada wa kufahamu makampuni yanayohusika na usafirishaji wa bidhaa kutoka huko ughaibuni kama china yanatumika na haya makampuni kama kikuu hadi bidhaa inamfikia mteja kwa address aliyoiweka .. aina za mizigo ni tofauti tofauti
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app