Ndokeji JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 698 Reaction score 476 Jan 7, 2012 #1 Jamani wanajf Niko mitaani Nina Laki tano nataka nianze Bishara Nipeni mawaidha ni Bishara gani nifanye?
Jamani wanajf Niko mitaani Nina Laki tano nataka nianze Bishara Nipeni mawaidha ni Bishara gani nifanye?
Jpinduzi Senior Member Joined Feb 26, 2011 Posts 136 Reaction score 68 Jan 7, 2012 #2 Ndokeji said: Jamani wanajf Niko mitaani Nina Laki tano nataka nianze Bishara Nipeni mawaidha ni Bishara gani nifanye? Click to expand... Usijali soma hii post! https://www.jamiiforums.com/busines...ata-katika-kuanzisha-biashara-ndogondogo.html
Ndokeji said: Jamani wanajf Niko mitaani Nina Laki tano nataka nianze Bishara Nipeni mawaidha ni Bishara gani nifanye? Click to expand... Usijali soma hii post! https://www.jamiiforums.com/busines...ata-katika-kuanzisha-biashara-ndogondogo.html
Ndokeji JF-Expert Member Joined Jun 9, 2011 Posts 698 Reaction score 476 Jan 7, 2012 Thread starter #4 Don Mangi said: M-pesa Click to expand... Nipe maelekezo jinsi ya kufanya
Captain22 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 629 Reaction score 282 Jan 7, 2012 #5 Don Mangi said: M-pesa Click to expand... Hivi Kuwa agent wa M-pesa unahitaji minimum mtaji wa kiasi gani?
Don Mangi said: M-pesa Click to expand... Hivi Kuwa agent wa M-pesa unahitaji minimum mtaji wa kiasi gani?
mangunde Member Joined Oct 28, 2010 Posts 56 Reaction score 11 Jan 7, 2012 #6 laki tano, leseni na tin number