wakuu natumia htc hd7 ni window phone ila toka juzi jumamosi inanisumbua inazima na nikiwasha haiwaki yote mean inaishia tu kwenye htc halafu haiwaki yote.nikajua labda imezidiwa na mzigo maake ni mwaka sasa naitumia so nikajua nimeijaza vitu sana imekuwa nzito nikapeleka kariakoo na kufanikiwa kuflash. lakini cha ajabu leo juma nne imerudia tena then nikampelekea fundi yuleyule kaflash tena ikawa kama imepona lakini imerudia mara ya pili. naomba msaada namna ya kuflash simu ili niflash mwenyewe sasa hivi kwani najikuta napoteza hela na muda wa kwenda kariakoo ilihali simu yangu haiponi