napenda kuomba msaada kwa wanajasirimali wote, nataka kuaanza mradi mdogo wa kufuga kuku wa kienyeji watano(5) majike with in mind kuupanua pale jinsi ntakapokuwa nimepata experience ya kutosha
i want to put into practise the compaunding effect prinnciple
naoembeni msaada wenu jinsi ninavyoweza anza na nianze na aina ipi ya kuku, malisho, nyumba na vinginevyo
thanks