Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayechunguza ni wewe mwenyewe?Tafadhali naomba kifungu cha sheria kinachoruhusu kuomba kibali cha mahakama kwa ajili ya kufukua mwil wa marehemu kwa uchunguzi zaidi.
Nawasilisha tafadhali.
NdioAnayechunguza ni wewe mwenyewe?
Labda jitambulishe ujulikane vizuri. We ni nani? Kazi yako nini? una taaluma gani? Na je uchunguzi unaoutaka kuufanya unahusu jinai au ni personal interest?Ndio
Sio vema sana kuweka wazi kila kitu ila nipo kwenye taasisi ya serikaili napeleleza suala hill awali marehemu alionekana kama amejiua ndugu wakamzika ila baadae walipata taarifa kuwa ameuwawa hivyo kutaka uchunguzi wa kina ufanyikeLabda jitambulishe ujulikane vizuri. We ni nani? Kazi yako nini? una taaluma gani? Na je uchunguzi unaoutaka kuufanya unahusu jinai au ni personal interest?
Kama kesi mojahuko mbeya imehukumiwa juzi na mahakama kuu.Sio vema sana kuweka wazi kila kitu ila nipo kwenye taasisi ya serikaili napeleleza suala hill awali marehemu alionekana kama amejiua ndugu wakamzika ila baadae walipata taarifa kuwa ameuwawa hivyo kutaka uchunguzi wa kina ufanyike
Ndio tunatafuta sheria inayoruhusu ili kuomba kibali cha mahakamaWaliosema mwiliuchunguzwe wana kibali za kuufukua
Kama wana dai lamsingi, nendeni polisi, wana uwezo wa kufungua au kufanya uchunguziShida ni kwamba malalamiko yamekuja baada ya mwili kuzikwa
Soma the inquest Act of 1980 inaeleza masuala ya exhumation...Kama sikosei sheria inaitwa cemetery and cremation act