Msaada wa kufundisha part time somo la Kifaransa.

Msaada wa kufundisha part time somo la Kifaransa.

Joined
Feb 8, 2012
Posts
92
Reaction score
9
Habari zenu wana JF,
Mimi ni mwalimu ninatafuta sehemu ya kufundisha part time somo la Kifaransa.Nina shahada ya Elimu na uzoefu wa miaka 2.Niko tayari kufundisha kuanzia primary school,sekondary school na colleges.Mwenye taarifa ya sehemu anapohitajika mwalimu wa Kifaransa naomba anifahamishe.Ninaishi Arusha.
Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom