Msaada wa kufungua biashara ndogo ya kujikimu

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,975
Heshima kwenu wakuu!

Nimemaliza chuo kikuu mwaka jana namshukuru Mungu nimepata kazi japo ya kawaida lkn maisha yanasonga. Nina kama milioni tatu kwa sasa mfukoni na malengo yangu nahitaji hii pesa niizungushe ifanye kazi na kuniletea faida. Naombeni mawazo yenu ni ujasiliamali gani nifanye au nianzishe biashara gani.

Mawazo ya kila mtu yataheshimiwa.
 
Check na dogo Zitto akumegee chimbo lake la Copper kule llagala.
 
Kama alivyosema kaka mpenda kazi ujicriamali uliopo sasa kwa kijana mwenye mtaji kama wako ni kilimo ukikubali hilo ni PM alafu tuone inakuwaje
 

idea ya biashara inabidi itoke kwako kulingana na pesa uliyonayo then wadau watajadili siwezi kusema ufanye kilimo wakati sijui interest zako, uzoefu e t c
 
Kama alivyosema kaka mpenda kazi ujicriamali uliopo sasa kwa kijana mwenye mtaji kama wako ni kilimo ukikubali hilo ni PM alafu tuone inakuwaje

Kilimo sitaki, labda ufugaji wa kuku au nguruwe
 
uko wap? maana usije kufuga hizo kitimoto zanzibar hazitolipa
 
Tafuta GOli, alafu nitafute nikupe Line ya VODa Bure, ya tigo utanichangia Kiasi kidogo.
Ufungue GOLI la MPESA na TIGO pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…