mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
habari zenu wanajukwaa,nina mpango wa kufungua kampuni ya usafi majumbani,maofisini na mitaani kwenye barabara n.k kwa kushirikiana na jamaa yangu mmoja, so naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa gharama halisi za vifaa na kwa mtaji wa kiasi gani unaweza kuwa muafaka kama kianzio kwa biashara hii!nipo dar es salaam,temeke
Watu kama nyieApa ndo tatizo linapoonza, Kufanya kitu kwa kujiona unaweza, ndio unaweza ila ulishawai kufikiri growth period ya hiyo kampuni yako... wacha nikupe interesting story kulikuwa na mchezaji mmoja mkubwa sana ambaye alipata nafasi ya kuwa kocha....lakini alipopata nafasi iyo alienda shule kusoma certificate ya ukocha alipoulizwa kwa nini unasoma certificate ya ukocha alisema kwa sababu nilikuwa naona mambo kama mchezaji sio kocha....Kila jambo lina gharama katika kufanya jambo je umejiandaje
Watu kama nyie
Hamfai kuwepo kwenye jamii
Apa ndo tatizo linapoonza, Kufanya kitu kwa kujiona unaweza, ndio unaweza ila ulishawai kufikiri growth period ya hiyo kampuni yako... wacha nikupe interesting story kulikuwa na mchezaji mmoja mkubwa sana ambaye alipata nafasi ya kuwa kocha....lakini alipopata nafasi iyo alienda shule kusoma certificate ya ukocha alipoulizwa kwa nini unasoma certificate ya ukocha alisema kwa sababu nilikuwa naona mambo kama mchezaji sio kocha....Kila jambo lina gharama katika kufanya jambo je umejiandaje
wewe kweli mtoto wa uswahilini wivu mwingi na povu la OMO.
swissme