Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 626
- 409
bei gan kubadil keyboardKama umebonyeza baadhi ya key (button) kwenye keyboard na ukaona hazitoi response yeyote...basi hakuna kingine zaidi ya kubadilisha keyboard nzima. Kwamaana hakuna marekebisho ya key moja katika keyboard kwasababu button zooote zimekuwa connected kwenye motherboard ya computer kwa mkanda mmoja tuu...
Kama upo Dar na utahitaji kubadilisha hiyo keyboard nichek 0658 020362
Bei zinatofautiana kulingana na model ya computer... ila bei ina anzia elfu 70 kuendeleabei gan kubadil keyboard
bei gan kubadil keyboard
Unazo keyboard.Taja Model kamili ya Computer yako.
mimi pc yangu kuna vibatani viwili vinakuwa vigumu kubonyezeka naomba msaagdahavibonyezeki(vigumu) au vinabonyezeka lakini ukivibonyeza pc haitambui kama imebonyezwa?
Kama ni ngumu tu inaweza kuwa solved kwa kuisafisha, mtafute mtu mjuzi kidogo akusaidie.mimi pc yangu kuna vibatani viwili vinakuwa vigumu kubonyezeka naomba msaagda
sawa mkuu nitalifanyia kaziKama ni ngumu tu inaweza kuwa solved kwa kuisafisha, mtafute mtu mjuzi kidogo akusaidie.