Msaada wa kuifahamu Shule ya sekondari Geita

Kimbojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2009
Posts
387
Reaction score
54
Wakuu kwa heshima na taadhima, naomba kuifahamu shule ya sekondary Geita kwani kuna dogo kapangwa form 5 huko kwa kombi ya EGM. Je ni shule ya zamani kwa maana ya uwepo wa walimu wa kutosha na vifaa vya kujifunzia? ahsanteni
 
Shule ni nzuri na ina walimu wakutosha na mwaka jana ilikua ya kwanza kimkoa
 
Ni shule inayofanya vizuri kitaaluma, cha muhimu ni kimwelesha dogo ajue anachokwenda kufanys huko kwani Geita kwa sasa ins vishawishi vingi vinavyosababishwa na mazingira ya mgodi.
 
Shule mbaya kichz vyoo hakuna mpaka kulitokea fujo kali ambayo ilitulizwa kwa mabomu ya machoz na maji washa kwa sababu ya uongoz mbaya iliopelekea mpaka shule kufungwa kwa muda wa mwez mzima yaan wew kamwamishe kabisa pale wanatoka arts tu sana na mawani ya kutosha kwa arts na dv 4 za biashara.
 
Ila ni kweli kwamba geita secondary wanaofauru sana ni wanao soma michepuo ya art kama vile hgl, hkl,hgk, (ila kwa ujumla matokeo ya art ndio hua yanakua mazuri sana ukiringanisha na wanaosoma michepuo ya biashara) kitu kingine hapo geita walimu wengi ni wa art
 
Ni shule inayofanya vizuri kitaaluma, cha muhimu ni kimwelesha dogo ajue anachokwenda kufanys huko kwani Geita kwa sasa ins vishawishi vingi vinavyosababishwa na mazingira ya mgodi.

aliekwambia ile shule ni ya wasichana kwa a'level nani acha uongo a'level ni boys tu vishawish vya mgodi vya namna gan xaxa acha kuusingizia mgodi wew ni akili za mtu tu kujicontrol.
 
Oh EGM geita wanachomoka sana bana sema nikukaza 2 bt ckul n kli academicaly bt achunge sana cycle y hela geita itamptza
 
usisahau kwenda na chupi 12,hicho ni mojawapo ya kipengele kilichopo kwenye joining instructions.
 

baada ya hizo vurugu na a level kuvunja vyoo vyote serikari ikajenga vyoo vipya kabisa,judging from a level results shule ni nzuri so dogo aje akomae .....karibu geita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…