Msaada wa Kuijua St Crispin Secondary hapa Dar

Msaada wa Kuijua St Crispin Secondary hapa Dar

Lulyeho

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
52
Reaction score
7
Wakuu,
Kwanza naomba msamaha kwa kuweka uzi huu katika jukwaa lisilohusika. Samahani sana.
Pili naomba kusaidiwa maeneo inapopatikana shule ya sekondari ya Mt. Crispin (St, Crispin's Secondary School) kwa hapa Dar es Salaam.
Kwa anaeijua naomba aniambie hapa au ani text kwa 0788936187 (SMS tu).
Mwisho, samahani tena kwa kuweka uzi huu huku ni kwa sababu huku wanafika watu wengi zaidi.
 
hizi shule za st. Ni majanga utadhan guest bubu. Hakuna hata vibao vinavyoelekeza shule ilipo .mfano. Canosa , Lieberman, mount everest, hope n joy. Joseph bakhita.
 
Back
Top Bottom