Ng'wanambula
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 197
- 54
Mkuu tafuta kitabu cha sayansi cha darasa la saba cha zamani(2005+). Kina maelezo na michoro.Naomba msaada kwa anayejua kujenga Biogas plant: Nataka kujenga mtambo huo lakini malighafi itakuwa excreta na malighafi hiyo itatoka kwa watu kati ya 400 na 500.
Naomba msaada wa BOQ pamoja na mambo mengine ambayo sikuyataja.