Msaada wa kujifunza Lugha ya Alama_LAT

Msaada wa kujifunza Lugha ya Alama_LAT

Aikasa

Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
37
Reaction score
9
habari za hapa, wakuu?
Naomba msaada wa wapi naweza kujifunza LUGHA YA ALAMA.kwa upande mwingine nipo kazini naweza kusema mwajiriwa wa serikalini. Hvy muda kama unanibana na eneo nilipo! Ahsanteni
 
Back
Top Bottom