Aikasa Member Joined Apr 11, 2012 Posts 37 Reaction score 9 Feb 2, 2014 #1 habari za hapa, wakuu? Naomba msaada wa wapi naweza kujifunza LUGHA YA ALAMA.kwa upande mwingine nipo kazini naweza kusema mwajiriwa wa serikalini. Hvy muda kama unanibana na eneo nilipo! Ahsanteni
habari za hapa, wakuu? Naomba msaada wa wapi naweza kujifunza LUGHA YA ALAMA.kwa upande mwingine nipo kazini naweza kusema mwajiriwa wa serikalini. Hvy muda kama unanibana na eneo nilipo! Ahsanteni