Christian msangi
Member
- Jul 24, 2018
- 67
- 115
Ingia mtaani huko wanapojenga kutana na mafundi wenzio, acha namba za simu au chukua za bosi mpigie muelekeze ikifika hatua na kupaua na madirishi akupe kazi hiyo utaifanya kwa bei nafuu. Hakikisha kwa siku unapata nyumba zako tano