Msaada wa kujiunga na Master

Msaada wa kujiunga na Master

mkalenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
290
Reaction score
23
Habar za kaz wakuu, Mimi ndo namalizia mwaka wa mwisho nasoma BAED ( Geography na History) niliitaji kuunganisha Master, Tatizo ni taratibu sifaham zikoje? na pia ni Master ipi ambayo inasoko saana kulingana na koz yangu niliyosoma, na pia ni GPA ipi inaitajika. NATANGULIZA SHUKRAN!
 
Hongera ila Ushauri Wangu Kwako Hebu Fanya Kazi Kwanza angalau hata Kwa Miaka 3 au 5 ili Upate Uzoefu na Pia Uweze Kujua Ukienda Kufanya Masters Yako Unakwenda Kufanya Ya Kitu Gani. Utafiti Unaonyesha Kwamba Watu Wengi Wanaounganisha From BA to MA huwa Wanakuwa Siyo Competent ktk Field Zao Ukilinganisha na Ambao Hawaunganishi. I stand to be Corrected ktk Hili. Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom