Habar za kaz wakuu, Mimi ndo namalizia mwaka wa mwisho nasoma BAED ( Geography na History) niliitaji kuunganisha Master, Tatizo ni taratibu sifaham zikoje? na pia ni Master ipi ambayo inasoko saana kulingana na koz yangu niliyosoma, na pia ni GPA ipi inaitajika. NATANGULIZA SHUKRAN!