Msaada wa kujiunga uwakala wa premier betting

Msaada wa kujiunga uwakala wa premier betting

mtimkav

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
1,034
Reaction score
662
kwa yeyote anaejua procedure za kua wakala anisaidie nipo morogoro mazimbu. Nisaidien wadau nikamate fursa nimechoka kutafuta kazi
 
Mkuu hii habari ungeni PM mimi tu hapa.. Ila una mtaji kiasi gani?
 
nenda ofisini kwao sehemu ulipo kama wapo nadhani dar ni kariakoo watakupa maelezo na mashine na vipeperushi ni bure nadhani commission ni 7 percent kwa kila bet. Mimi niliulizia tu ila sikutaka kufanya hii biashara sababu inaua wengi na ina madhara makubwa ni kama kushiriki kuuza addiction na kuvunja familia za watu
 
Ukiwa karb na wakala mkubwa haina haja ya mtaj unachohtaj kupeleka n copy ya lesen ya biashara wadhamin 2 kitambulisho cha mkazi
 
nenda ofisini kwao sehemu ulipo kama wapo nadhani dar ni kariakoo watakupa maelezo na mashine na vipeperushi ni bure nadhani commission ni 7 percent kwa kila bet. Mimi niliulizia tu ila sikutaka kufanya hii biashara sababu inaua wengi na ina madhara makubwa ni kama kushiriki kuuza addiction na kuvunja familia za watu

nisaidie kung'amua hiyo lugha ngeni ndugu,umeniacha kidogo.
 
Back
Top Bottom