Msaada wa kujua gharama za awali za kuendesha kampuni ya kusambaza filamu.

Joined
Aug 9, 2013
Posts
23
Reaction score
5
Habari wana jamii forum..mm ni memba mpya kabisa wa jamii forum.
mimi ni kijana wa kidato cha sita pale azania nasoma economy,commerce and accountancy na pia ni mjasiliamali mdogo.
lengo langu ni kufungua kampuni ya kusambaza filamu itakayoanza kusambaza filamu za tanzania na badae kuipanua zaidi east africa,whole africa na overseas.
pia ninakipaji cha kuigiza ambacho naamini kabisa kutokana na ubunifu nilio nae naweza kufanya mapinduzi makubwa ila yote hayo nimepanga kuyafanya nimalizapo kidato cha sita OMBI LANGU KWENU NI KUNISAIDIA KUJUA GHARAMA ZA MWANZO WA KUENDESHA HIYO KAMPUNI NA NATARAJIA KUISAJILI MWAKANI.KWA YEYOTE MWENYE KUFAHAM NAOMBA ANIDOKEZEE...ASNTEN NAWAPENDA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…